Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 11, 2021

kidato cha sita na ualimu 2021 matokeo haya hapa

Picha
   kidato cha sita na ualimu 2021 matokeo haya hapa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu iliyofanyika Mei 2021. Matokeo hayo yanatangaziwa Zanzibar. Soma hapa matokeo ya kidato cha sita Matokeo ya kidato cha sita na ualimu 2021 haya hapa

wafanyabiashara kutoendelea na shughuli zao KARIAKOO

Picha
wafanyabiashara kutoendelea na shughuli zao KARIAKOO Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga amesema kutokana na ukubwa wa eneo lililoungua bado kutaendelea kuwa na gesi ambayo haifai, hivyo wafanyabiashara hawataweza kufanya  shughuli zao hadi pale watakapopewa taarifa rasmi. Masunga ametoa kauli hiyo leo Jumapili Julai 11, alipotembelea soko hilo kwa ajili ya kufanya ukaguzi na kuangalia eneo lililoshika moto. Amesema taarifa za moto zilipokewa katika Kituo cha Zimamoto Ilala saa 2:40 usiku. Masunga amesema hadi kufikia kesho haitawezekana wafanyabiashara kuendelea na shuguli zao kutokana na uwepo wa gesi ambayo haifai. “Nimefika hapa kwa ajili ya kufanya ukaguzi na kuangalia eneo lililoshika moto, kwa kweli nimeshuhudia moto ulikuwa ni mkubwa sana na kazi ya kuzima moto huo ilifanyika vizuri kwa kuwa Jeshi la Zimamoto na Ukoaji lilikuwa limejiandaa vilivyo. “Tulipata changamoto mbili wakati wa kuzima moto, kwanza hap...