Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MICHEZO

Seleman Matola amemtahadhari mapema MIQUISSON

Picha
 SIMBA tayari imezindua Wiki ya Simba Day jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya viongozi, wanachama pamoja na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo wakijitolea kutoa damu kuchangia Mfuko wa Damu wa Taifa, huku mmoja ya wataalamu akimuonya nyota mpya Luis Miquissone. Luis amerejeshwa kikosini katika dirisha la usajili lililopo wazi kwa sasa na tayari ameanza mambo katika kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki, lakini kocha wa zamani wa timu hiyo ambaye kwa sasa kahamishia makali yake kikosi cha vijana cha Msimbazi, Seleman Matola amemtahadhari mapema. Kocha huyo wa vijana wa Simba, alisema licha ya Luis kuwa bado mchezaji nzuri, lakini anakibarua cha kufanya ili aweze kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo walio na matumaini makubwa Luis aliyeuzwa na Simba misimu miwili iliyopita kwa Al Ahly ya Misri na kuacha pengo kubwa katika kikosi hicho, amejereshwa baada ya kumaliza na mabosi wa klabu hiyo akipewa mkataba wa miaka mitatu na Matola aliyekuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho alisema kurudi k...

Yanga vs Geita

Picha
 Hatua ya Robo Fainali Kombe la Azam Sports Federation kukamilika kupigwa leo  Saa 2:00 Usiku, mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa uwanja wa Azam Complex wakiwakaribisha Geita Gold Je, Wachimba dhahabu kuwatupa nje wananchi ama ama Yanga kwenda nusu fainali kuungana na Singida Big Star, AzamFC na Simba??

Lampard arudi Chelsea kwa muda

Picha
Frank Lampard ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa Chelsea FC ambapo atainoa timu hiyo hadi mwisho mwa msimu. Lampard anarudi tena Darajani kama kocha baada ya kuitumikia kwa mafanikio akiwa mchezaji akishinda mara tatu Ligi Kuu ya England pamoja na taji moja la UEFA. Lampard ataongoza Chelsea katika mchezo wa robo fainali wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Aprili 2 mwaka huu Chelsea ilivunja mkataba na Graham Potter kutokana na matokeo yasiyorodhisha, na sasa itakuwa katika kibarua cha kutafuta kocha wa kudumu.

fununu za usajili Ulaya

Picha
  fununu za usajili Ulaya  Arsenal inataka kumuuza mshambuliaji wake Alexandre Lacazette, 30, ili kupata fedha za usajili katika dirisha la uhamisho la msimu ujao.. (Mirror) Inter Milan inataka kumsajili beki wa PSV Eindhoven Denzel Dumfries lakini inaweza kumnunua kwa mkopo mchezaji huyo wa Uholanzi. (Calciomercato - in Italian) Hakujakuwa na habari yoyote mpya kuhusu uhamisho wa Saul Niguez kutoka Atletico Madrid kuelekea Barcelona na kiungo huyo wa Uhispania amekuwa akiwasiliana na klabu kadhaa huku akitarajiwa kujiunga na Liverpool au Manchester United (AS - in Spanish) Arsenal iko tayari kuilipa klabu ya Sassuolo £34m ili kumsajili kiungo wa kati wa Itali Manuel Locatelli, 23. (Fabrizio Romano via Sun) Chelsea inajaribu kufanya kila kitu katika harakati zake za kumuwania mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20, ijapokuwa fursa ya kumpata mchezaji huyo kupitia mpango wa kubadilishana wachezaji iko chini . (Sky Germany - in German) The ...

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 13.07.2021

Picha
  Manchester United wako mbioni kukubaliana masharti binafsi na mlinzi wa Real Madrid Raphael Varane,27, ambaye amekuwa akitolewa macho kwa muda mrefu.(Daily Mail) Hector Bellerin ameiambia Arsenal kuwa anataka kuondoka wakati wa dirisha la usajili majira ya joto. Mchezaji huyo wa nafasi ya ulinzi mwenye miaka 26, ambaye ni mchezaji wa muda mrefu wa kikosi cha kwanza cha Mikel Arteta ana matumaini ya kuhamia Inter Milan. (Metro) Manchester City haina mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Mfaransa Antoine Griezmann, 30, lakini wana nia na mshambuliaji wa Norway na Borussia Dotmund Erling Braut Haaland, 20, na nahodha wa Tottenham England Harry Kane. (The Sun) Chelsea inatarajia kutangaza 'ofa kubwa' kwa Haaland. (Daily Star) Griezman anaweza kuelekea kwenye klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid, kwa kubadilishana na kiungo wa kati wa Uhispania Saul Niguez,26. (Daily Express) Tweet ya kiungo wa kati wa Real Madrid Isco -iliyofutwa - inadokeza kwamba mch...

SIMBA BINGWA VPL, MO Na Gomes wajifungia Dar

Picha
      SIMBA BINGWA VPL, MO Na Gomes wajifungia Dar   MABAO mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Coastal Union uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa yametosha kuifanya Simba kutangaza ubingwa baada ya kufikisha alama 79 ambazo hakuna timu yeyote ya ligi inaweza kuzifikisha kwa msimu huu.         SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na Yanga bado kimewavuruga mabosi wa klabu hiyo. Simba leo itavaana na Coastal Union ikihitaji pointi moja tu kubeba ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo, lakini akili za mabosi wa klabu hiyo bado zipo kwenye mchezo wao ujao wa fainali za Kombe la Shirikisho (ASFC) wakilenga kufuta uteja dhidi ya watani zao. Yanga iliwafunga Simba kwenye Kariakoo Derby iliyopigwa wiki iliyopita kikiwa kipigo cha pili msimu huu pamoja na cha Kombe la Mapind...

Italia 3-2 kupitia penalti

Picha
  Italia 3-2 kupitia penalti CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Matumaini ya kumaliza ukame wa miaka 55 bila taji kubwa yalivunjwa jana kwa kushindwa na Italia kupitia mikwaju ya Penalti na kuipa Italia ushindi wa kombe la Euro 2020 uwanjani Wembley Italy, ambao hawajashindwa katika mechi 33 kabla ya fainali walijirejesh polepole mchezoni na wakasawazisha katika dakika ya 67 baada ya England kutangulia kufung mapema katika kipindi cha kwanza . Baada ya kipindi kigumu cha muda wa ziada ,mshindi hakupatikana timu hzo zilipotoka sare ya bao moja na ikalazimu mikwaju ya penalti kutumiwa kumpata mshindi .Huo ndio uliokuwa mwanzo wa mafadhaiko ya kocha Gareth Southgate na wachezaji wake walioingia fainali kwa matumaini makubwa . England ilikosa kufunga mikwaju mitatu ya penalti kati ya mitano waliopewa huku wachezaji Marcus Rashford ,Jadon Sancho na Bukayo Saka wakikosa kufunga Harry Kane na Harry Maguire waliifungia England ilhali Pickford mikwaju ya Andrea Belotti na Jorginho ilhali Domeni...

Soka Ulaya Jumatatu 12.07.2021

Picha
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 12.07.2021 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Kocha wa Everton Rafa Benitez amewahimiza wakuu wa klabu kumsajili mlinzi wa kati wa Napoli, Msenegali Kalidou Koulibaly, 30. (90min) Napoli   wanalenga kuwaachilia   Koulibaly, halikadhalika kiungo wa kati wa   Uh ispania Fabian Ruiz, wakati wakijaribu kupunguza   fedha zinazotumiwa kuwalipa mishahara wachezaji   , hata hivyo hawajapokea ofa yoyote kwa wachezaji hao. (Calciomercato - in Italian) Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi yuko mbioni kusalia na Barcelona, huku mchezaji huyo mwenye miaka 34 akitarajiwa kusaini mkataba na klabu   hiyo   ya Catalonia. (AS) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, 24, anasalia kuwa pendekezo la kwanza la Juventus wakiwa na nia ya kuimarisha safu ya ushambuliaji msimu ujao, lakini kumrejesha Moise Kean Turin kutoka Everton ni suala la hiari. (Tuttosport - in Italian) Matumaini ya Arsenal kumsajili mlinda...