Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 9, 2021

TBJoshua kuzikwa leo Nigeria

Picha
  TBJoshua kuzikwa leo Nigeria AFP Copyright: AFP TB Joshua mara kwa mara alitembelea Afrika, Uingereza na Amerika Kusini Image caption: TB Joshua mara kwa mara alitembelea Afrika, Uingereza na Amerika Kusini Muhubiri wa Televisheni Nigeria TB Joshua anazikwa leo Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo Lagos baada ya wiki ya kutoa heshima za mwisho. Maelfu ya waombolezaji wamekusanyika katika kanisa lake la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) lililopo kweye eneo laIkotun mjini Lagos. Marehemu Joshua aliyekuwa na umri wa miaka 57 alifariki tarehe 5 Juni baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na kanisa. Temitope Balogun Joshua aliheshimiwa na watu kutoka kote duniani na makumi ya maelfu ya watu walihudhuria ibada zake kila wiki. Kupanda kwa umaarufu wake katika miaka ya 1990 kuliambatana na vipindi vya " miujiza" vilivyooneshwa kwenye televisheni za Nigeria na wachungaji. Mafundisho yake yalitabiri uponyaji wa kila aina wa magonjwa, ikiwa ni pamoja na HIV/Ukimwi na aliwav...

kwanini mfalme wa Saudia na mwenzake wa UAE wanazozana

Picha
 Uhasama kati ya UAE na Saudia kuhusu uzalishaji wa mafuta wiki hii ulifanya mazungumzo kati ya wazalishaji hao wawili wa mafuta duniani na kufutiliwa mbali na kuacha masoko ya mafuta katika hali ya kutatanisha hatua iliofanya bidhaa hiyo kupanda bei kwa mara ya sita mwaka huu. Wanachama wa mataifa 23 yanayozalisha mafuta na kuuza duniani mbali na wazalishaji kama vile Urusi walilazimika kuahirisha mkutano huo ghafla , na kuzua hofu kuhusu udhibiti wa kundi ambalo limesambaza mafuta katika kipindi cha miezi 18 ili kukabiliana na mzozo wa kiuchumi unaosababishwa na virusi vya corona. Tatizo lilianza wiki iliopita , wakati UAE ilipokataa pendekezo la wanachama wawili wa Opec+ Saudia na Urusi kuongeza usambazaji wa Mafuta kwa kipindi cha miezai minane ijayo. UAE ilitaka kuanzisha mazungumzo mapya kuhusu nyongeza au punguzo la faida ya mafuta yake - ili kuweza kuipatia uhuru kuzalisha  mafuta zaidi. Hatahivyo, Saudia na Urusi walikuwa wanapinga wazo hilo. Mazungumzo hayo yalichuku...

BITI LA MZEE MPILI

Picha
"Manara ni mtoto mdogo hawezi kunitisha Mimi.Manara aliahidi kunipa Shilingi milioni moja kama Yanga watashinda, Mimi sikumuomba aliahidi mwenyewe akitaka kuji proud, sasa nataka hela yangu, tena awape ninyi (Media) na namba zangu nitaziacha kwenu. Asiponipa atanijua Mimi ni nani" "Mechi ya Juzi nilijua tutashinda, hata kama simba angetangulia kufunga ningesawazisha na kuongeza goli la pili...ningefanyaje hiyo ni confidential" "Kigoma mechi ntaicheza pia Mimi, na nikuahidi uzuri wa hii ya Kigoma kuna muda mrefu wa maandalizi nafurahi kwa hilo" "Kigoma nina 100% tunachukua kombe, simba haiwezi beba kombe mbele yangu haitatokea.Kigo ma nikihitajika kwenda nitaenda, nitaendaje hiyo ni siri, ila nitakuwepo Kigoma" Mzee Mpili akizungumza kupitia Wasafi tv