Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya NENO LA MUNGU

KIFO KWA MTU ALIYE ZALIWA MARA YAPILI

Picha
  KIFO KWA MTU ALIYE ZALIWA MARA YAPILI Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika Kitabu cha YOHANA. Leo, tunaendelea kujifunza Kitabu hiki katika Biblia zetu, kwa kutafakari kwa makini YOHANA 11:1-16. Katika mistari hii, tunasoma juu ya kifo cha Lazaro, na hivyo kujifunza juu ya  KIFO KWA MTU ALIYE ZALIWA MARA YAPILI . Hata hivyo, kuna mafundisho mengi yanayoambatana, tunayojifunza hapa. Tutayagawa mafundisho tunayoyapata katika mistari hii, katika vipengele kumi na moja:- (1) UPENDO WA KINDUGU KATIKA UGONJWA (2) KUUGUA KWA WATU WALIOOKOKA (3) UGONJWA HUU SI WA MAUTI  (4) UTUKUFU WA MUNGU HUONEKANA KATIKA MATATIZO (5) UPENDO WA MUNGU KATIKA KUCHELEWA KUSHUGHULIKA NA MATATIZO YETU (6) KUSAMEHE NA KUSAHAU  (7) MTU AKIENDA MCHANA HAJIKWAI (8) YESU KWETU NI RAFIKI  (9) KIFO CHA MTU ALIYEOKOKA (10) UWEZEKANO WA WANAFUNZI WA YESU KUTOKULIELEWA NENO LA MUNGU (11) WAJIBU WA KUTIANA MOYO KUSONGA MBELE (1) UPENDO WA KINDUGU KATIKA UGONJWA Lazaro alikuwa hawezi, yaani ali...

UJUMBE WA ROHO.

 Nalikuwa katika njozi NAMI nikaona tazama watu katika mji wangu wakienndelea na shughuli zao, Lakini wanadamu wote tunaonekana tunanamchukulia MUNGU YEHOVA na IBADA ZAKE kuwa kitu Cha kawaida, inaonekana hakuna injiri ya kweli Kwa wanadamu wa muda huo. Basi ilikuwa ni siku iliyo Anza vizuri sana, Jua la ASUBUHI liliangaza vyema bila kuwepo hata wingu Moja, Ilionekana hakuna mvua inaweza kunyesha siku hiyo. Watoto walikuwa wakienndelea na michezo Yao huku watu wazima wakiendelea na shughuli zao,  GHAFRA ,. YAANI KUFUMBA NA KUFUMBUA milimani ikaonekana wingu na dhoruba Kali ambayo hapana mtu akikutwa nayo anaweza kupona, Dhoruba Kali ilikuwa inakuja mjini kwetu Kwa Kasi isiyowezekana kuikimbia. Watu wa mji walionekana wakikimbia kila mmoja aiokoe nafsi yake bila hata kuwakumbuka watoto wao na ndugu na jamaa zao. NAMI nilitaka kukimbia lakini nikawaona wanagu wadogo wakiwa wame duwaa Wanashangaa Ile tufani Kwa huzuni. Nikajiuliza inamaana hata mama Yao kwaacha? Basi nikaenda nik...

JINSI YA KUMSHINDA SHETANI

 JINSI YA KUMSHINDA SHETANI. sehem ya 1. Bwana Yesu asifiwe  wapendwa.   Bwana YESU amenipa wakati mzuri Mimi Jacob Wa kunieleza Na kunifunza  jinsi Na namna ya kupigana vita vya kiroho. Na ameniahidia kua kila asomaye Na atakaye nisikiliza kwanjia yoyote ile atakombolewa.  Jifunze kupigana vita vya kiroho kwa upana Mkubwa zaidi. Katika makala zangu utajifunza kushindana Na kushinda. Huwezi kushinda vita yoyote kama huna ujuzi wala mbinu za kupigana Na adui. Pia lazimaujue mbinu za adui unaye pigana naye, aina ya silaha anazo tumia, nguvu ya jeshi lake Na niwakati gani adui huwa anashambulia.  Nijambo la ajabu sana watakatifu Wa Mungu wao humchukulia shetani kama kitu cha kupuuza tena kinyonge Na kisichokua Na uwezo wala maarifa. NISAWA LAKINI NIHATARI SANA KWA UPANDE MWINGINE.  Mtu Wa Mungu elewa kwanza unapigana Na shetani ambaye Alisha hukumiwa. Hana nafasi tena ya kutubu. Tena unapigana Na shetani ambaye amepewa ulimwengu huu, anaitwa mkuu Wa Giza ...

NGUVU

 NGUVU. 1Yohana 5:4-6 “Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu. Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu? Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu. Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli. Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Kisha wako watatu washuhudiao duniani, Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Tukiupokea ushuhuda wa wanadamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, kwamba amemshuhudia Mwanawe.” Neno lolote niwafundishalo siyo mapenzi yangu bali ni mapenzi yake BABA wa Mbinguni. Mtu akiwa na NGUVU USHINDI ni wa kwake, mfano; kwenye eneo la mapambano yeyote mwenye NGUVU kuliko mwingine ndiye atakaye kuwa mshindi; au kwa wanariadha yeye mw...

WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI

  Mistari muhimu ya kukumbuka:- 1 WAKORINTHO 14:34-36:- 34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo. 35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa. 36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu? 1 TIMOTHEO 2:11-12:- 11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna. 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. Katika sehemu ya kwanza ya somo hili lilopita tuliona na kuchambua juu ya hoja potofu zinazotumiwa na watu kuhusu mwanamke kutokuwa Mchungaji au Muhubiri. Tulijiona usahihi wake na kujifunza mengi juu ya suala hilo katika kipengele hicho. Lakini leo tunamalizia juu ya hoja yao nyingine potofu na kupiga hatua tena kumalizia vile vipengele vilivyosalia. HOJA YAO YA TATU . Watasema, Katika wale mitume 12 wa Yssu . Hatuoni mahali popote ambapo Yesu alic...