USTAWI.

USTAWI. NINI MAANA YA USTAWI? · Ni Maisha Ya Kuondokana Na Uhitaji, Yaani Ni Maisha Ya Utoshelevu, · Ustawi Maana Yake Ni Utimilifu Wa Mtu, Pasipo Ustawi Bado Haujatimia. · Ustawi Maana Yake Umeufikia Wito Ambao Mungu Amekuumbia, Mungu Alimuumba Mwanadamu Kwa Sura Na Mfano Wake, Kwa Kusudi Gani?. Mungu Ali Kuumba Ili Afanane Naye. Katika Mungu Hakuna Labda Labda Bali Kuna Utimilifu. Biblia Inasema Nini Kuhusu Ayubu? Ayubu Alikuwa Mtu Mkamilifu, Nini Maana Ya Ukamilifu?. Maana Yake Alikuwa Ni Mtu Aliyestawi. Alikuwa Na Watoto, Wanyama Na Watumwa Walio Mzunguka Wa Kiume Na Wakike. Ustawi Maana Yeke Ni Utimilifu Wa Mtu . Ayubu 1:1 “Palikuwa Na Mtu Katika Nchi Ya Usi, Jina Lake Alikuwa Akiitwa Ayubu; Mtu Huyo Alikuwa Mkamilifu Na Mwelekevu, Ni Mmoja Aliyemcha Mungu, Na Kuepukana Na Uovu.” Unapo Sema Mtu Huyu Ni Mkam...