Akizungunza katika mkutano wa Siku ya Vijana Duniani jijini Lisbon Papa alisema kuwa mgando wa fikra wa baadhi ya watu “hauna manufaa”. "Kwa kufanya hivyo unapoteza utamaduni halisi na utategemea itikadi ili kuungwa mkono. Kwa maana nyingine, itikadi inachukua nafasi ya imani,” aliongeza kusema. Papa pia amewashutumu vikali wale wote wanaokanusha mabadiliko ya tabianchi na anatazamiwa kuwa katika mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa wa COP28 baadae mwezi huu huko Dubai. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Papa kuhudhuria toka mikutano hiyo ianzishwe mwaka 1995.
Machapisho
VIPAJI VYA ROHO MTAKATIFU
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Katika Ukristo vipaji vya Roho Mtakatifu ni misimamo tunayotiwa na Roho Mtakatifu wa kuangaza, kuimarisha na kuzoesha akili na utashi wetu ili kushirikiana naye katika mambo ya utumishi wa Mungu . Kusudi tujue kweli muundo wa Kiroho unaotuwezesha kuishi kama wana wa Mungu , haitoshi tuyajue ma adili . Ni lazima tuzingatie pia vipaji vya Roho Mtakatifu, pasipo kusahau namna mbalimbali za kupata msaada wa Mungu . Vilevile, haitoshi tuwe na maadili yote ya Kimungu na ya kiutu , tunahitaji pia tumiminiwe vipaji vya Roho Mtakatifu ili atuongoze nyuma ya Yesu hadi kwa Baba . “Ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake… Wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu” ( Rom 8:9,14). Orodha ya vipaji hivyo hariri Vipaji vya Roho Mtakatifu n...