ASALI NI DAWA MDARASINI PIA NI DAWA
Asali na Mdalasini
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kutokana na asali. Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali katika tiba ya magonjwa mbalimbali.Warusi na Wafaransa wanafahamika sana katika kufanya utafiti katika maabara kuhusu uwezo wa asali katika tiba mbalimbali.
Katika makala hii tutaangalia tiba ya asali na mdalasini na namna ya kuitumia kutibu maradhi mbalimbali (asali tunayoizungumzia hapa ni asali safi yaani asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo).
YAFUATAYO NI BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIKA KWA ASALI NA MDALASINI:
1. Ugonjwa wa viungo, maumivu na uvimbe
-Chukua maji kiasi vuguvugu na ongeza mdalasini, unga kijiko cha chai na asali vijiko 2 vya chakula na kuchua sehemu zenye maumivu.
-Vilevile waweza kutengeneza kikombe kimoja cha chai kwa kuweka kijiko kimoja cha unga wa mdalasini na kuongeza asali vijiko viwili vya chakula na kisha kunywa ikiwa ya moto kutwa mara mbili.
2. Kukatika kwa nywele
-Asali ikichanganywa na mdalasini na mafuta vuguvugu ya mzeituni hutia kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele.
-Tumia mchanganyiko huo vuguvugu kwa kupaka na kusugua kichwani na acha kwa dakika 15 kisha uoshe.
3. Ukungu wa miguu au fungus
-Changanya kijiko cha chakula cha asali na vijiko viwili vya chai vya mdalasini na acha kwa muda wa nusu saa kisha safisha (rudia hivyo mpaka upone).
4. Maambukizi kwenye kibofu cha mkojo
-Changanya maji ya uvuguvugu na vijiko 2 vya chai vya mdalasini na kijiko1 cha asali huondoa bakteria kwenye kibofu.
5. Maumivu ya jino
-Chukuwa mdalasini ya unga kijiko kidogo kimoja, changanya na asali vijiko vitano kisha dondoshea kwenye jino linalouma kutwa mara mbili hadi maumivu yatakapotoweka.
6. Vidonda vitokanavyo na magonjwa ya kulala kwa muda mrefu
-Paka saladi iliyochanganywa asali na mdalasini.Vilevile tumia chai ya roseberry nyekundu kwa kuondoa aina hii ya maumivu.
7. Lehemu
-Changanya asali safi mbichi vijiko 2 vya chakula na unga wa mdalasini vijiko 2 vya chakula na kikombe cha chai cha maji ya moto na unywe kutwa mara 3
8. Mafua
-Tumia mchanganyiko wa kijiko 1 cha chakula cha asali vuguvgugu na robo kijiko cha unga wa mdalasini kuondoa chafya na kuvimba koo.
9. Ugumba
-Asali inaaminika kuamsha hamu ya mapenzi. Wapenzi wa jinsia zote wanashauriwa kunywa walau vijiko 2 vya chakula kila siku kabla ya muda wa kulala. Mdalasini imetumika muda mrefu katika dawa za kichina na kihindi kuongeza uwezo wa uzazi kwa akina mama wenye kuhitaji kuzaa
-Changanya mdalasini na kiasi cha asali na kufanya mgando (paste) na upake kwenye fizi na meno na kuacha inyonywe na kuingia mwilini taratibu na hii ni kwa akina mama wasio na sababu za kimsingi za kuwakosesha kuzaa.
10. Mchafuko wa tumbo
-Asali kwa muda mrefu imetambulika kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na asali pia hupunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.
11. Gesi au Asidi
-Kula asali pamoja na mdalasini kuondoa mchafuko wa tumbo uletwao na gesi (acid) na huu ni uchunguzi ulio fanywa na Japan na India
12. Ugonjwa wa moyo
-Unaweza kujikinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara kwa kupakaa kama jam wakati wa kula mkate wa ngano wenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko 1 cha chakula cha mchanganyiko huo (asali na mdalasini) kila siku.
13. Shinikizo la juu la damu
-Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya kupata dozi ya mara kwa mara ya asali iliyochanganywa na mdalasini.
14. Kinga ya mwili
-Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja. Utafiti unaonyesha kuwa hazina kubwa ya vitamini (virutubisho), madini pamoja na mchanganyiko wa mdalasini na asali iondoayo magonjwa na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea na bakteria.
15. Ukosefu wa nguvu za kiume
-Asali ina historia ndefu ya kuamsha nguvu ya uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji. Asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za mashariki za dunia. Watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali inauwezo wa kupelekea mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo mdalasini.
-Katika Afrika na dunia ya kusini mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza nguvu ya kufanya mapenzi.
16. Matatizo katika mmeng’enyo wa chakula
-Kula vijiko 2 vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo huondoa kiungulia na wataalam wanasema asali husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa chakula tumboni na mdalasini unaongeza kasi ya kuchaguliwa kwa chakula.
17. Flu
-Tafiti moja ya Kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa iliyopo katika asali ni dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu vimelea(virus)waletao flu.
18. Kuongeza umri wa kuishi
-Unaweza kuishi hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali.Kutengeneza kinywaji hiki kitamu weka vijiko 4 (vikubwa) vya mdalasini na vijiko 4 vya asali,vikombe 3 vya maji na koroga kwa dk 10 kisha kunywa robo kikombe mara 3 au 4 na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.
19. Kuondoa chunusi
-Changanya vijiko 3 vikubwa vya asali na kijiko 1 kikubwa cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.Uwezo wa asali wa kuua bakteria unafanya uso kuwa wa kawaida katika muda wa wiki 2.
20. Kuumwa na wadudu wenye sumu
-Changanya asali na mdalasini kisha pakaa moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia tena hadi uvimbe uishe.
21. Maambukizi katika ngozi
-Fanya kama ilivyoandikwa namba ishirini hapo juu.
22. Kupunguza uzito.
-Waweza kufurahia vyakula vyote unavyovipenda kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri kilichojaa vitu muhimu viwili ambavyo ni asali na mdalasini.
-Unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako.Vilevile wataalam wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyama nyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko 2 vikubwa vya asali na kijiko 1 cha mdalasini.Rudia mchanganyiko huo kabla ya kulala.Wataalam wamethibitisha kuwa inapunguza hamu ya kula na kuleta joto mwilini.
23. Saratani
-Utafiti uliofanyika huko Australia na Japan umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya magonjwa kwa anaetumia madawa ya kutibu saratani. Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua saratani ya mifupa na utumbo ambao walikuwa wanatumia kila siku dozi ya asali na mdalasini walionyesha kupata nafuu maradufu kuliko wale waliokuwa wanatumia madawa ya kutibu saratani peke yake. Dr.HIROKI OWATA alisema waliwapa mchanganyiko wa asali na mdalasini kijiko kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi 1 na wengine waliendelea kama kawaida.
24. Kuondoa uchovu sugu
-Uko ushahidi kwamba sukari asilia iliyopo katika asali inauwezo wa kuongeza nishati mwilini. Ikitumika ipasavyo sukari hii inaweza kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu.Wataalam wanapendekeza kuchanganya nusu kijiko cha asali katika nusu kikombe cha maji yaliyonyunyiziwa mdalasini kunywewa masaa mawili baada ya kuamka.Rudia kunywa saa 9 alasiri wakati nishati (nguvu) inapoanza kuisha kufuatia ushauri wa Dr. MILSTON ABBOZZA ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.
25. Kuvimba nyayo
-Changanya asali na mdalasini katika maji vuguvugu na uchue miguu(nyayo)zilizoathirika baada ya siku ndefu ya kazi au baada ya mazoezi marefu.Rudia kila asubuhi na unawe nyayo kwa maji baridi na vaa viatu.
26. Harufu mbaya mdomoni
-Chukua maji ya vuguvugu changanya na asali na mdalasini kisha sukutua kila asubuhi.Katia Asia ya kusini mashariki watu hula kijiko cha asali na mdalasini ili kuondoa harufu mbaya(halitosis).Wataalam wanaamini uwezo wa kuua bakteria uliopo kwenye asali ndio unaopigana na harufu mbaya toka mdomoni.
27. Kupungua kwa usikivu
-Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki zamani.
-Kutumia mdalasini na asali kutakufanya uonekane kuwa na afya nzuri.
Angalizo kuhusu Asali feki
Ndugu msomaji napenda kukufahamisha kuwa miaka ya karibuni kumejitokeza baadhi ya wafanyabiashara kutengeneza asali feki kwa kutumia maji ya miwa na sukari guru au kuongeza maji na vimiminika vingine ndani ya asali ili wajipatie faida kubwa, endapo utatumia asali ya namna hii basi utakuwa ukiihatarisha afya ya mwili zaidi badala ya kujitibu.
Zifuatazo ni mbinu za kuitambua asali ambayo ni salama kwa maana ya kwamba haijachakachuliwa:
• Weka maji kwenye glasi na kisha mimina asali ndani yake na kwamba ikikaa chini ya glasi bila kuchanganyana na maji basi hiyo ni asali asilia na inakuwa haijachanganywa na chochote.
• Njia ya pili ni kuiweka asali kwenye njiti ya kibiriti na kisha kuiwasha ikiwa njiti hiyo itawaka basi asali haijachakachuliwa kwa kuchanganywa na chochote lakini njiti ya kiberiti isipowaka inakuwa ni feki.
• Njia nyingine ni kuionja bidhaa hiyo na kwamba iliyokachuliwa kwa kuchemshwa hutoa harufu ya moshi tofauti na ambayo ni halisi.
MATATIZO YA VIDONDA VYA TUMBO
ASALI NA MDALASINI KATIKA KUTIBU NA KUPUNGUZA MAUMIVU YA VIDONDA VYA TUMBO
Mchanganyiko wa ASALI na MDALASINI unaweza kutibu na kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo, wataalamu wanathibitisha hilo.
ASALI na MDALASINI(wa unga) zina viwango vikubwa vya SULPHUR ambayo ni muhimu katika utibuji wa vidonda.
Asali ina uwezo wa kulainisha ukuta wa tumbo na hvyo kupoza maumivu lakini pia inazuia MAZALIA YA BAKTERIA kwa kua ina tabia za ANTI-BACTERIAL( tambua kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na bakteria).
Kunywa mchanganyiko wa ASALI(vijiko viwili vya chakula) na MDALASINI(kijiko kimoja cha chai) katika maji ya uvuguvugu kila siku asubuhi na usiku kabla hujalala. Na pia unashauriwa kunywa mchanganyiko huu mda mfupi kabla hujapata chakula.
Mchanganyiko huu unatibu tatizo toka kwenye mzizi lakini pia hauzuii tu matatizo kujirudia bali pia asali inasaidia kuponyesha ngozi ya tumbo iliyoharibika kwa vidonda vya tumbo kwasababu asali hairuhusu mazalia ya bakteria.
Sasa Popote ulipo tafuta ASALI na MDALASINI na uanze kujitibu kwa gharama nafuu kabisa. Lakini pia ni vizuri kupata ushauri wa daktari wako.
Kwa ASALI halisi tupe order yako kupitia 0757270304 au tutumie msg INBOX
Tafadhali bonyeza kitufe cha SHARE kujulisha watu wengi zaidi na pia LIKE page yetu kuendelea kupata dondoo mbalimbali za uzuri wa Asali.
JITIBU MAGONJWA 27 KWA ASALI NA MDALASINI
Mdalasini Asali MDALASINI NA ASALITaswira ya mtu anayesumbuliwa na tatizo la chunusi ambalo linaweza kuondoka kwa kutumia mdalasini kama makala haya yanavyo elekeza. " MDALASINI NA ASALI vinaweza kukufanya uonekane kama picha yenye afya nzuri kama ile yamwonyeshaji mitindo ya mavazi na muigizaji sinema Jocqol Bell."Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana namagonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kamaitachanganywa na mdalasini wa kawaida.Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida laWorld News wa Tiba, wataalamu wa madawayatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afyana lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi zaumuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.Kama ifuatayo
:1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}
.Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asalipamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchuasehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vyaasali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapawagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kilaasubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na _ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongeana kutembea vyema.
2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheomaridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvuguunapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15
.3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemuzilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwishakwenye kipindi cha wiki moja
.4. Maamhukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja{cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala yamaji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu
.5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka
.6.Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKERSORES}
.Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberrynyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.
7. Helemu {CHOLESTERAL}
Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwilivikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazinzuri ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa maraya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na EricVogelmann.Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. vilevile/ aidhauchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya kila siku ya asali safi hupunguza viwango vyahelemu.>
8. Mafua {COLDS}
Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirikakutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} chamdalasini, mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.
9. Ugumba {INFERTILITY}
Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa anglao vijikoviwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}. \Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wauzazika kina mama wenye kuhitaji kuzaa.Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwakwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.Familia moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kikebaada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtotohadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini
.10.Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawaifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja nakichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivuyaletwayo na vidonda vya tumbo.ll.Esidi/Gesi-Co2. Hco3. Hcl.Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi/acidkwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan
.12.Ugonjwa wa Moyo {HEART DISEASE}Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenyemishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.Kula asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} chamchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa yadamu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmojaulionyesha
.13. Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na kizunguzunguyalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi zamara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyeshaukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache zatiba hii ya ajabu.
14.Kinga ya mwili {IMMUNE SYSTEM}
Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwapamoja - wataalamu wanasema.Utafiti wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho}na madini pamoja namichanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe zadamu, husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.
15.Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi yadini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezowa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia yakusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zaoza kufanya mapenzi.
16.Kutokuchaguliwa kwa chakula {INDIGESTION}
Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula chakula} huondoa kiungulia nawataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakulatumboni na mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula
.17.Flu {INFLTJENZA}
Tafiti moja ya kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibuvairasi {vimelea} waletayo Flu
.18.Umri wa kuishi {LONGERVITY}
Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kilasiku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijikovine{vikubwa} vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa robokikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi
.19.Chunusi {PIMPLES}
Changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili.
20.Kuumwa na wadudu {kwa washawasha} wenye sumuPakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati mwahsounapokuathiri. Rudia tena hadi viuvimbe vinatoweka.
21.Madhara ya ngozi {INFECTIONS}Fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha
.22.Kupungua kwa uzitoWawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwiliambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asiliambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katikamapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama njeya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijikoviwili vya asali iliyochanganywa na kijiko kimoja chamdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu kabla ya kulala.Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache, kuongezahivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa nawataalamu wa lishe kwamba hupunguza hamu yakula pamoja na kuleta joto mwilini.
23.Saratani {CANCER}
Utafiti uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwakatika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu sarakani.Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwawanaugua kwa kiwango kikubwa sarakani yamifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini, walionyesha maradufukupata nafuu kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee. "Tuliwapa kijikocha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi".anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea namilo ya kawaida".
24.Uchovu {FATIGUE}Upo ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa kuongeza nishatimwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinawezakuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa nauchovu, wataalamu wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya maji,nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiriwakati nishati {nguvu}inapoanza kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asalina mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa. "katika wiki moja hiiitajionyesha"
.25.Kuvimba Nyayo {SORE FEET}Chua asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo zilizoathirika baada ya siku ndefu na kazi aubaada ya mazoezi marefu. Rudia kila asubuhi halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi na vaa viatu
.26.Harufu mbaya kutoka mdomoniWaamerica wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na vuguvugu kila asubuhiili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya kusini mashariki, watu hulakijiko cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}. Wataalamu wanaaminikwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayomdomoni
.27.Kupungua kwa usikivu {HEARING LOSS}Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwanaWagiriki wa zamani
.TUMIA ASALI NA MDALASINI KWA AFYA YAKO, USIANGAMIE KWA KUKOSA MAARIFA.
Maoni