BITI LA MZEE MPILI

"Manara ni mtoto mdogo hawezi kunitisha Mimi.Manara aliahidi kunipa Shilingi milioni moja kama Yanga watashinda, Mimi sikumuomba aliahidi mwenyewe akitaka kuji proud, sasa nataka hela yangu, tena awape ninyi (Media) na namba zangu nitaziacha kwenu. Asiponipa atanijua Mimi ni nani" "Mechi ya Juzi nilijua tutashinda, hata kama simba angetangulia kufunga ningesawazisha na kuongeza goli la pili...ningefanyaje hiyo ni confidential" "Kigoma mechi ntaicheza pia Mimi, na nikuahidi uzuri wa hii ya Kigoma kuna muda mrefu wa maandalizi nafurahi kwa hilo" "Kigoma nina 100% tunachukua kombe, simba haiwezi beba kombe mbele yangu haitatokea.Kigo ma nikihitajika kwenda nitaenda, nitaendaje hiyo ni siri, ila nitakuwepo Kigoma" Mzee Mpili akizungumza kupitia Wasafi tv

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

JINSI YA KUMSHINDA SHETANI

NGUVU YA DAMU YA YESU

VIPAJI VYA ROHO MTAKATIFU