TB Joshua mara kwa mara alitembelea Afrika, Uingereza na Amerika KusiniImage caption: TB Joshua mara kwa mara alitembelea Afrika, Uingereza na Amerika Kusini
Muhubiri wa Televisheni Nigeria TB Joshua anazikwa leo Ijumaa katika
mji mkuu wa nchi hiyo Lagos baada ya
wiki ya kutoa heshima za mwisho.
Maelfu ya waombolezaji wamekusanyika katika kanisa lake la Synagogue,
Church of All Nations (SCOAN) lililopo kweye eneo laIkotun mjini Lagos.
Marehemu Joshua aliyekuwa na umri wa miaka 57 alifariki tarehe 5
Juni baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na kanisa.
Temitope Balogun Joshua aliheshimiwa na watu kutoka kote duniani
na makumi ya maelfu ya watu walihudhuria ibada zake kila wiki.
Kupanda kwa umaarufu wake katika miaka ya 1990 kuliambatana na vipindi vya " miujiza" vilivyooneshwa
kwenye televisheni za Nigeria na wachungaji.
Mafundisho yake yalitabiri uponyaji wa kila aina wa magonjwa,
ikiwa ni pamoja na HIV/Ukimwi na
aliwavutia watu kutoka maeneo mbali mbali ya dunia.
BBCCopyright: BBC
Kilio cha TB Joshua pia kinafanyika katika kijiji cha nyumbani kwao cha Arigidi-Akoko katika jimbo la OndoImage caption: Kilio cha TB Joshua pia kinafanyika katika kijiji cha nyumbani kwao cha Arigidi-Akoko katika jimbo la Ondo
Akifahamika
kama "Nabii" miongoni mwa wafuasi wake, alimiliki televisheni ya
Kikristo - Emmanuel TV na mara kwa mara alitembelea Africa, Marekani,
Uingereza and na Amerika Kusini.
Bw Joshua alitoka katika familia masikini na alilelewa na mjomba wake kufuatia kifo cha baba yake Mkristo.
Wachungaji
wengine maarufu ambao hawakuhudhuria ibada za wiki hii za kumuombea Bw
Joshua, walielezea kutokuwa na mahusiano mazuri nae.
BBCCopyright: BBC
Wafuasi wa Bw Joshua walimtambua kama mtu aliyekuwa na haiba na mnyenyekevu,Image caption: Wafuasi wa Bw Joshua walimtambua kama mtu aliyekuwa na haiba na mnyenyekevu,
Jumuiya
ya Wakristo wa Nigeria (Can) na ule wa makanisa ya Kipentekoste nchini
Nigeria (PFN) awali walimuelezea Bw Joshua kama"mpotofu"ambaye anatoka
katika kikundi cha "wachawi" ambaye ameiuingilia Ukristo.
Can
hatahivyo imetoa taarifa siku chache kabla ya kifo chake, ikisema "
kifo chake ni hasara sit u kwa familia na kanisa, bali kwa Nigeria na
dunia nzima kwa ujumla ".
Emmanuel TVCopyright: Emmanuel TV
Wafuasi
wa Bw Joshua walimtambua kama mtu aliyekuwa na haiba na mnyenyekevu, na
maelfu wanatarajiwa kujitokeza katika mazishi yake.
TB Joshua mara kwa mara alitembelea Afrika, Uingereza na Amerika KusiniImage caption: TB Joshua mara kwa mara alitembelea Afrika, Uingereza na Amerika KusiniMuhubiri wa Televisheni Nigeria TB Joshua anazikwa leo Ijumaa katika
mji mkuu wa nchi hiyo Lagos baada ya
wiki ya kutoa heshima za mwisho. Maelfu ya waombolezaji wamekusanyika katika kanisa lake la Synagogue,
Church of All Nations (SCOAN) lililopo kweye eneo laIkotun mjini Lagos.Marehemu Joshua aliyekuwa na umri wa miaka 57 alifariki tarehe 5
Juni baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na kanisa.Temitope Balogun Joshua aliheshimiwa na watu kutoka kote duniani
na makumi ya maelfu ya watu walihudhuria ibada zake kila wiki.Kupanda kwa umaarufu wake katika miaka ya 1990 kuliambatana na vipindi vya " miujiza" vilivyooneshwa
kwenye televisheni za Nigeria na wachungaji.Mafundisho yake yalitabiri uponyaji wa kila aina wa magonjwa,
ikiwa ni pamoja na HIV/Ukimwi na
aliwavutia watu kutoka maeneo mbali mbali ya dunia.Kilio cha TB Joshua pia kinafanyika katika kijiji cha nyumbani kwao cha Arigidi-Akoko katika jimbo la OndoImage caption: Kilio cha TB Joshua pia kinafanyika katika kijiji cha nyumbani kwao cha Arigidi-Akoko katika jimbo la Ondo Akifahamika
kama "Nabii" miongoni mwa wafuasi wake, alimiliki televisheni ya
Kikristo - Emmanuel TV na mara kwa mara alitembelea Africa, Marekani,
Uingereza and na Amerika Kusini.Bw Joshua alitoka katika familia masikini na alilelewa na mjomba wake kufuatia kifo cha baba yake Mkristo.Wachungaji
wengine maarufu ambao hawakuhudhuria ibada za wiki hii za kumuombea Bw
Joshua, walielezea kutokuwa na mahusiano mazuri nae.Wafuasi wa Bw Joshua walimtambua kama mtu aliyekuwa na haiba na mnyenyekevu,Image caption: Wafuasi wa Bw Joshua walimtambua kama mtu aliyekuwa na haiba na mnyenyekevu,Jumuiya
ya Wakristo wa Nigeria (Can) na ule wa makanisa ya Kipentekoste nchini
Nigeria (PFN) awali walimuelezea Bw Joshua kama"mpotofu"ambaye anatoka
katika kikundi cha "wachawi" ambaye ameiuingilia Ukristo.Can
hatahivyo imetoa taarifa siku chache kabla ya kifo chake, ikisema "
kifo chake ni hasara sit u kwa familia na kanisa, bali kwa Nigeria na
dunia nzima kwa ujumla ". Wafuasi 9Emmanuel TVCopyright: Emmanuel TVWafuasi
wa Bw Joshua walimtambua kama mtu aliyekuwa na haiba na mnyenyekevu, na
maelfu wanatarajiwa kujitokeza katika mazishi yake.
JINSI YA KUMSHINDA SHETANI. sehem ya 1. Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Bwana YESU amenipa wakati mzuri Mimi Jacob Wa kunieleza Na kunifunza jinsi Na namna ya kupigana vita vya kiroho. Na ameniahidia kua kila asomaye Na atakaye nisikiliza kwanjia yoyote ile atakombolewa. Jifunze kupigana vita vya kiroho kwa upana Mkubwa zaidi. Katika makala zangu utajifunza kushindana Na kushinda. Huwezi kushinda vita yoyote kama huna ujuzi wala mbinu za kupigana Na adui. Pia lazimaujue mbinu za adui unaye pigana naye, aina ya silaha anazo tumia, nguvu ya jeshi lake Na niwakati gani adui huwa anashambulia. Nijambo la ajabu sana watakatifu Wa Mungu wao humchukulia shetani kama kitu cha kupuuza tena kinyonge Na kisichokua Na uwezo wala maarifa. NISAWA LAKINI NIHATARI SANA KWA UPANDE MWINGINE. Mtu Wa Mungu elewa kwanza unapigana Na shetani ambaye Alisha hukumiwa. Hana nafasi tena ya kutubu. Tena unapigana Na shetani ambaye amepewa ulimwengu huu, anaitwa mkuu Wa Giza ...
NGUVU YA DAMU : Damu ya Yesu ndiyo inayomfanya mwamini awe mtakatifu wa Mungu, hauwi mtakatifu pasipo Damu ya Yesu kukusafisha. Unahitaji damu ya Yesu kukusafisha ili uwe mtakatifu wa Mungu. Haki huja kupitia Neno lakini utakatifu huja kwa kupitia damu. Katika damu ndipo ukombozi ulipo, huwezi kutoka kwenye dhambi na uovu ambao unaokufanya usiwe mtakatifu pasipo Damu ya Yesu, ni kwa Damu pekee ndiyo itakufanya uwe mtakatifu wa Mungu na huo utakatifu ndio unamfanya Mungu avutiwe na wewe. Utakatifu wako ndio utakao mvutia Mungu lakini ili uupate ni lazima uipate Damu ya Yesu na hapo ndipo ukombozi ulipo. Nguvu inayo fukuza dhambi zote maradhi na magonjwa ni damu ya Yesu, kupitia Damu tunao ukombozi wetu, wokovu, utakatifu, tunakuwa washiriki wa mambo ya mbinguni. Ufunuo 12:11 “ Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa .” tunamshinda adui, maradhi na magonjwa kwa Damu ya Yesu, imo nguvu ndani ya hiyo Damu...
Katika Ukristo vipaji vya Roho Mtakatifu ni misimamo tunayotiwa na Roho Mtakatifu wa kuangaza, kuimarisha na kuzoesha akili na utashi wetu ili kushirikiana naye katika mambo ya utumishi wa Mungu . Kusudi tujue kweli muundo wa Kiroho unaotuwezesha kuishi kama wana wa Mungu , haitoshi tuyajue ma adili . Ni lazima tuzingatie pia vipaji vya Roho Mtakatifu, pasipo kusahau namna mbalimbali za kupata msaada wa Mungu . Vilevile, haitoshi tuwe na maadili yote ya Kimungu na ya kiutu , tunahitaji pia tumiminiwe vipaji vya Roho Mtakatifu ili atuongoze nyuma ya Yesu hadi kwa Baba . “Ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake… Wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu” ( Rom 8:9,14). Orodha ya vipaji hivyo hariri Vipaji vya Roho Mtakatifu n...
Maoni