Uchumi tz

 Habari mpendwa msomaji wangu.

Leo tunaangazia malalamiko ya watanzania wengi kuhusu kupanda kwa too mbalimbali za serikali je hilisuala liko sahihi. Mjadala huu umekua mpana sana hasa ukizingatia nchii hii inao uchumi mkubwa sana la raslimali asili dhahabu almasi tanzanite rubí bajaría mito maziwa mbuga Za WANYAMA bichi safi n.k sasa je huu uongozi baada ya raisi Magufuri kufariki unaipeleka nchi hii wapi? Je raisi Samia anadanganywa na mafisadi au Naye kafumba macho asione Mateso ya wananchi wake au ni mpango wake KATIKA kuliongoza taiga hili?


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

JINSI YA KUMSHINDA SHETANI

NGUVU YA DAMU YA YESU

VIPAJI VYA ROHO MTAKATIFU