Machapisho

ASALI NI DAWA MDARASINI PIA NI DAWA

  Asali na Mdalasini Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kutokana na asali. Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali katika tiba ya magonjwa mbalimbali.Warusi na Wafaransa wanafahamika sana katika kufanya utafiti katika maabara kuhusu uwezo wa asali katika tiba mbalimbali. Katika makala hii tutaangalia tiba ya asali na mdalasini na namna ya kuitumia kutibu maradhi mbalimbali (asali tunayoizungumzia hapa ni asali safi yaani asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo). YAFUATAYO NI BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIKA KWA ASALI NA MDALASINI: 1. Ugonjwa wa viungo, maumivu na uvimbe -Chukua maji kiasi vuguvugu na ongeza mdalasini, unga kijiko cha chai na asali vijiko 2 vya chakula na kuchua sehemu zenye maumivu. -Vilevile waweza kutengeneza ki...

Historia ya Kanisa

Picha
  Historia ya Kanisa Sehemu ya mfululizo kuhusu Ukristo Yesu katika Ukristo Yesu kuzaliwa na Bikira Utume wa Yesu Kifo Ufufuko Kristo Biblia ya Kikristo [ficha] Historia ya wokovu Kanuni ya Biblia Agano la Kale Agano Jipya Injili Teolojia [ficha] Mungu Baba Mwana Roho Mtakatifu Utatu Mtakatifu Kanisa Katoliki Ufunuo Mapokeo ya Mitume Kanuni ya Imani Historia ya teolojia Umisionari Utetezi wa Ukristo Kifodini Wokovu Sakramenti Ubatizo Kipaimara Ekaristi Kitubio Mpako wa wagonjwa Daraja takatifu Ndoa Historia ya Kanisa [ficha] Bikira Maria Mitume wa Yesu Mtume Petro Mtume Paulo Mababu wa Kanisa Walimu ...