Machapisho

UHUSIANO WA MAGONJWA NA DHAMBI;

Picha
  UHUSIANO WA MAGONJWA NA DHAMBI; (1) NGUVU YA ISHARA NA MAAJABU (YOHANA 4:46-48) Tunaona hapa Yesu akimwambia diwani mwenye mtoto mgonjwa, “Msipoona ishara na maajabu hamtaamini kabisa?” Ishara, maana yake tendo lolote linalodhihirisha kwa dhahiriUWEZO WA MUNGU. Maajabu, ni mambo yanayofanywa na Mungu, yanayomfanya mwanadamu kupigwa na mshangao, kwa kuwa ni tofauti na desturi au taratibu za kibinadamu. Ishara na maajabu, yana nguvu ya ajabu katika kuihubiri Injili kwa utimilifu. Wako watu wengi leo katika ulimwengu huu ambao, kama diwani huyu, hawawezi kumwamini Yesu, wasipoona ishara na maajabu. Diwani huyu, alimwamini Yesu, yeye na wote wa nyumbani mwake, kutokana na ishara na maajabu aliyoyaona YOHANA 4:52-53. Huyu, ni mmoja kati ya watu wengi walioamini baada ya kuona ishara na maajabu YOHANA 2:11, 23; 7:31; MATENDO 13:12. Watu wengi ambao hawajaokoka, watajengewa utayari wa kutusikiliza ikiwa wataona ishara na maajabu MATENDO 8:6. Siyo hilo tu, ni rahisi kwa watu wengi kuthib...

Dhiki kubwa

Picha
  Dhiki kubwa Tunajifunza somo hili kwa kuligawa katika vipengele saba. ( i ). Dhiki tofauti na zote ( ii ). Muda wa dhiki kubwa ( iii ). Majina yanayotumika kuzungumzia dhiki kubwa ( iv ) Watakaohusika kuileta dhiki kubwa ( v ). Makusudi ya dhiki kubwa ( vi ) Hali itakavyokuwa wakati wa dhiki kubwa ( vii ). Jinsi ya kuikwepa dhiki kubwa ( I ). DHIKI TOFAUTI NA ZOTE Wanadamu hapa duniani, wanapitishwa katika dhiki za namna namna. Wanapitishwa katika mateso ya namna namna. Wengine wanapitishwa katika hali nzito ya njaa nchi nzima hali inakuwa mbaya. Nchi ambazo zimewahi kushuhudia njaa kali kama Ethiopia na Somaria, watu watakondeana na kubaki mbavu kabisa. Njaa itakuwa kali kiasi kwamba hata ukipita mjusi watatamani kuurukia waweze kuula lakini hata nguvu za kuurukia mjusi zinaweza kukosekena . Watu wengine watafukiwa na vifusi sehemu zile za India kutokana na matetemeko. Wengine wataweza kupelekwa mbali kwa kurushwa na vimbunga. Dhiki ulizozipata kwa kuanguka katika mapo...

Rais wa Tunisia amemfukuza kazi waziri mkuu

Picha
Rais wa Tunisia amemfukuza kazi waziri mkuu kusitisha shughuli za bunge, kufuatia kuzuka kwa vurugu za maandamano katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Maelfu ya watu wamekuwa wakiandamana na kupambana na Polisi siku ya Jumapili kuonyesha hasira zao dhidi ya serikali kwa namna inavyoshughulika vibaya suala la Covid-19, Rais Kais Saied alitangaza atasimamia hilo kwa kusaidiwa na waziri mkuu mpya, akisema anataka kuleta utulivu nchini humo. Lakini wapinzani wake wanasema hatua aliyoichukua Rais huyo ni kama kupindua ama mapinduzi ya kimamlaka. "Tumechukua hatua hizi... mpaka hali ya Tunisia irejee kuwa shwari, mpaka tukiokoe nchi," alisema Saied katika hotuba yake kwenye televisheni baada ya kuitisha kikao cha dharura cha usalama. Usiku wa Jumapili, waandamamaji walilipuka kwa shangwe kufuatia taarifa kwamba waziri mkuu Hichem Mechichi ametimuliwa. Baadae Rais Saied akaungana na maelfu ya waandamamaji katika mji mkuu Tunis. Maelfu ya watu wamekuwa wakiandamana mjini Tunis na m...

aliye tumwa kuwakomboa watoto wa shule naye atekwa..

Picha
  Watekaji nyara nchini Nigeria wamemkamata mwanaume aliyetumwa kupeleka malipo ya fidia ili kuachiliwa kwa makumi ya watoto wa shule waliotekwa nyara. Mzee huyo alitumwa na wazazi wa watoto hao baada ya kufanikiwa kukusanya naira 30msawa na (dola 73,000; Pauni 53,000) kwa kuuza ardhi na mali zingine. Lakini wameachwa wakiwa hawana matumaini kufuatia utekaji nyara wake. Kaskazini mwa nchi hiyo kuna wimbi la utekaji nyara shuleni unaotekelezwa na wahalifu kwa ajili ya kujipatia faida. Mara nyingi katika matukio kama hayo fidia hulipwa lakini hii ni kesi nadra ambapo mtu aliyebeba pesa iliyokuwa fidia na kuwapelekea naye pia ametekwa nyara. Watekaji nyara walimpigia simu mwalimu mkuu wa shule na kusema kwamba pesa zilizotolewa sio kiwango walichokubaliana. Wanafunzi 136 walitekwa nyara kutoka shule ya Kiislamu huko Tegina, jimbo la Niger, mwishoni mwa Mei. Watu wenye bunduki waliokuwa wamepanda pikipiki walivamia mji huo na kuanza kufyatua risasi kiholela na kumuua mtu mmoja huku mwi...

kwa vigezo nisinge chaguliwa

Nini maana ya kufunga?

Picha
Isaya 58:6-14 “ Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira? Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe? Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya yako itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa Bwana utakufuata nyuma ukulinde……. ” ·          Kufunga maana yake ni kuachilia matendo maovu. ·          Kufunga ni kukusababisha wewe kutimiza mapenzi ya Muumba wako, ·          Kufunga ni kumwambia Mungu mimi sistahili pasipo wewe, yaani inamaana ni kumkaribia Mungu. ·          Kufunga ni kuuita uwepo wa Mungu uwe pamoja nawe na kutembea na wewe, uwepo wa...

kuabudu

Picha
 

mziki mtakatifu

Picha
 

mziki mtakatifu

Picha
  angalia mziki hapa