Machapisho

Ujenzi Wa kisasa.

Picha
 Jichagulie aina ya nyumba unayotaka nasisi tutakijenea Kwa gharama nafuu kabisa

RAMANI NA DESIGN MPYA ZA NYUMBA ZA KISASA

Picha
 
Picha
 

RAMANI ZA NYUMBA

Picha
 
  Akizungunza katika mkutano wa Siku ya Vijana Duniani jijini Lisbon Papa alisema kuwa mgando wa fikra wa baadhi ya watu “hauna manufaa”. "Kwa kufanya hivyo unapoteza utamaduni halisi na utategemea itikadi ili kuungwa mkono. Kwa maana nyingine, itikadi inachukua nafasi ya imani,” aliongeza kusema.  Papa pia amewashutumu vikali wale wote wanaokanusha mabadiliko ya tabianchi na anatazamiwa kuwa katika mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa wa COP28 baadae mwezi huu huko Dubai.  Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Papa kuhudhuria toka mikutano hiyo ianzishwe mwaka 1995.

VIPAJI VYA ROHO MTAKATIFU

  Katika   Ukristo   vipaji vya Roho Mtakatifu   ni misimamo tunayotiwa na   Roho Mtakatifu   wa kuangaza, kuimarisha na kuzoesha   akili   na   utashi   wetu ili kushirikiana naye katika mambo ya utumishi wa   Mungu . Kusudi tujue kweli  muundo wa Kiroho  unaotuwezesha kuishi kama  wana wa Mungu , haitoshi tuyajue ma adili . Ni lazima tuzingatie pia vipaji vya Roho Mtakatifu, pasipo kusahau namna mbalimbali za kupata msaada wa  Mungu . Vilevile, haitoshi tuwe na maadili yote  ya Kimungu  na  ya kiutu , tunahitaji pia tumiminiwe vipaji vya Roho Mtakatifu ili atuongoze nyuma ya  Yesu  hadi kwa  Baba . “Ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake… Wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu” ( Rom  8:9,14). Orodha ya vipaji hivyo hariri Vipaji vya Roho Mtakatifu n...