Machapisho

MIAMBA YA SOKA TZ sasa Yasubiriana Kigoma

Picha
  MIAMBA YA SOKA TZ sasa Yasubiriana Kigoma JULai 06 2021         BAADA ya Yanga juzi kuilaza Simba bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, mashabiki wa timu hizo jijini hapa wamesema watakutana Julai 25 huko Kigoma na mbabe atajulikana zaidi msimu huu. Katika mchezo wa juzi uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, Yanga iliichapa Simba na kufikisha pointi 70, ikiachwa alama tatu na wapinzani hao, huku ikiwa mbele kwa mechi mbili. Simba waliingia uwanjani wakihitaji ushindi ili kutangazwa mabingwa lakini Yanga walikuwa makini kuharibu mipango na kufanikiwa kupata bao mapema kupitia Zawadi Mauya na kufanya ligi kuendelea kuchangamka upande wa ubingwa. Baada ya mchezo huo wa ligi, timu hizo zinatarajia kukutana katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) utakaopigwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. Sebastian Mwandala ambaye ni shabiki wa Yanga alisema timu yao haiwezi kufungwa na Simba na kwamba hizo ni salamu kuelek...

mtanikuta Kigoma MZEE MPILI

Picha
mtanikuta Kigoma MZEE MPILI JULai 06 2021         SIMBA wanalia wakiwaambia wababe wao Yanga kwamba mumshukuru Mzee wenu Mpili vinginevyo mngekula nyingi lakini mwenyewe amejibu mapigo akiwaambia ‘Hapo mmepigwa na nyuklia moja tu mmesambaratika sasa subirini Kigoma mi natangulia’. Yanga ilicheza kwa mbinu bora zaidi dhidi ya Simba juzi na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 la mapema dakika ya 11 tu kutoka kwa kiungo Zawadi Mauya na kuwacheleweshea Wekundu hao sherehe za ubingwa wa nne mfululizo. Akizungumza jana na Mwanaspoti, Mzee Mpili ambaye ni shabiki wa Yanga kutoka Ikwiriri, Pwani alisema watani wao wana bahati kwani walikuwa wapigwe nyingi katika mchezo wa juzi. Mzee Mpili ambaye alionekana kuwa mwenye furaha akiwa amevaa fulana yake safi akaenda mbali akisema safari ya kuipiga Simba ndio imeanza na sasa anatangulia mkoani Kigoma kuanza maandalizi ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) utakaochezwa Julai 25 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika. “Sim...

Magonjwa ya macho

Picha
  Magonjwa ya macho Jicho lenye conjunctivitis kutokana na virusi . Magonjwa ya Macho ni maradhi mbalimbali yanayoweza kuyapata macho . Jicho ni kiungo kimojawapo cha mwili kinachomsaidia mwanadamu na pia wanyama kuona vitu mbalimbali katika dunia na hata ulimwengu kwa jumla. Mnyama yeyote akikosa macho ni adhabu kubwa sana kwa maisha yake ambapo asipokuwa na mwangalizi anaweza kupata adha mbalimbali kama kukosa chakula na inaweza kumpelekea mnyama kufa kwa kukosa chakula kwa sababu haoni. Magonjwa ya macho yapo ya aina mbalimbali: mengine yanasababishwa na nzi , kama vile trakoma , na mengine yanasababishwa na mionzi ambayo inaweza kuwa ya jua , runinga na hata tarakilishi ambavyo vinasababisha macho kutofanya kazi vizuri kama kuona mbali na kuona karibu na pia kichwa kuuma . Makengesa katika macho yanasababishwa na kulegea kwa mishipa ya siliari inayoshika lenzi ya jicho. Magonjwa yote ya macho yanatibika; inategemea hatua ya ugonjwa huo wa macho ulipof...

Siku 100 za Rais Samia Suluhu: Kibarua kilichopo mbele serikali ya kudhibiti corona

Picha
  Siku 100 za Rais Samia Suluhu: Kibarua kilichopo mbele serikali ya kudhibiti corona 05julai  2021  picha, Ikulu, Tanzania Maelezo ya picha, Rais Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya kamati maalum ya corona kutoka kwa Profesa Said Aboud. Ripoti iliyozinduliwa na kamati maalum ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhusu COVID-19, bila shaka imeiweka nchi hiyo katika ramani ya dunia kuhusu maswala ya usalama wa afya ulimwenguni. Hata hivyo, kwa kuzingatia hali ilivyo kwa sasa nchini humo, serikali inakabiliwa na jukumu zito la kutekeleza kikamilifu mapendekezo ya wanasayansi. Changamoto iliyowazi kwa sasa ni kuwepo kwa mkanganyiko mkubwa kijamii na kisaikolojia uliochagizwa na utata wa mbinu zilizotumika dhidi janga la COVID-19 wakati wa utawala wa hayati Rais John Magufuli. Tofauti na ilivyo sasa, ukweli uko kwenye rekodi kwamba utawala uliopita haukuwa wazi kuhusu kuwepo kwa janga nchini licha ya viongozi wa dini na wanaharakati kupaza sauti juu ya uwepo ...

Katiba Mpya Tanzania: Ni mtego kwa Rais Samia?

Picha
  Katiba Mpya Tanzania: Ni mtego kwa Rais Samia? July 1 2021 CHANZO CHA PICHA, jaco online tv Maelezo ya picha, Jaji Warioba Safari ya mchakato wa kupata katiba mpya ya Tanzania ulianza tangu mwaka 2010, wakati Rais wa wakati huo, Jakaya Kikwete alipoamua kuutangazia umma dhamira na nia ya serikali ya kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Mchakato ukaanza rasmi mwaka 2011 kwa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Na. 83/2011 na baadaye ikatungwa Sheria nyingine ya Kura ya Maoni Na. 11/2013. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ilitamka kuanzishwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo ilianzishwa chini ya Waziri mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba, ikaratibu mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi na kuandaa rasimu ya kwanza ya katiba ambayo kupitia uhariri wa Mabaraza ya Katiba ikapatikana Rasimu ya Pili ya Katiba. Je, mabadiliko ya kisiasa 'kutoyumbishwa' tena Tanzania? Rasimu hii ya pili ambayo ni maarufu kama Rasimu ya Warioba ikawasilishwa kwenye Bu...

Lissu kurejea Tanzania kudai katiba mpya

Picha
  Lissu kurejea Tanzania kudai katiba mpya Licha ya Rais Samia Suluhu wa Tanzania kuweka wazi kwamba kwa wakati huu hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya, wapinzani wameendelea kupaza sauti kuongeza shinikizo la kudai katiba mpya.         Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA, kimezinduwa rasmi  Alhamis vuguvugu lake la madai ya Katiba Mpya na haki za kisiasa. Kauli hiyo ya Rais Samia, ambaye aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, inaonekana kama vile imeamsha ari ya wapinzani hao pamoja na wanaharakati wanaotumia majukwaa mbalimbali kupeperusha ujumbe wa kudai katiba mpya. Chadema hakitarudi nyuma katika kutaka katiba mpya Chadema, ambayo ilianza hivi karibuni kwa kufanya   mikutano ya ndani katika takribani mikoa yote ya Tanzania Bara, sasa inaonekana kugeuza muelekeo na kuanzisha makongamano ya ndani yenye shabaha hiyo hiyo ya kushajiisha umuhimu wa kupatikana kwa katiba mpya. Katika kongamano ...

Mauya aliuota ushindi vs Simba

Picha
  Mauya aliuota ushindi vs Simba MONDAY JULY 05 2021         BAADA ya kuwalaza na viatu Simba juzi kwenye mechi ya derby, mfungaji pekee wa bao la Yanga, Zawadi Mauya amefunguka kuwa alijua wanaenda kushinda mchezo huo hata kabla ya mechi kuanza. Mauya ambaye ni kiungo mkabaji ilimchukua dakika 11 tu kuiandikia Yanga bao la kuongoza na la ushindi baada ya kupiga shuti kali akiwa nje ya boksi la 18 lililoenda wavuni baada ya kumgonga Shomari Kapombe wa Simba na kubadili mwelekeo wakati kipa Aisha Manula akiwa amesharukia upande huo kuufuata. Mauya alisema kuwa yeye na wachezaji wenzake walijua kuwa watapata ushindi kutokana na ubora wa timu yao na maandalizi waliyoyafanya. “Tuliingia uwanjani tukijua tunashinda, mimi na wachezaji wenzangu kabla ya mchezo huu tulijiwekea mikakati ya kushinda mechi hii hivyo ilikuwa lazima tushinde. “Lile bao nililifunga kutokana na kutumia vyema nafasi niliyopata, nilifurahi sana kufunga na kikubwa zaidi nimefurahi kuipatia timu u...