#SOMO la leo 20/08/2023 na Mtu wa MUNGU Nabii BG Malisa. ▪︎LUKA 19:29-30 Unaweza ukawa unaishi mahali flani lakini katika ulimwengu wa roho umefungwa kijijini kwenu. Kijiji chenu ndiyo chimbuko lenu, ndiyo asili yenu. Huwezi kufanikiwa zaidi ya asili ya kijiji chenu. ▪︎Kule ulipotoka ndiyo chimbuko lenu, ndipo historia yenu ilipo, huwezi kwenda zaidi ya chimbuko lenu, inahitaji ukombozi na kufunguliwa kwa kiwango cha juu ili ufanikiwe. Kumbuka: NI LAZIMA URUDI UCHUNGUZE ASILI YA KIJIJI CHENU NA UISHUGHULIKIE ▪︎Ardhi ya kijiji chenu inahitaji ukombozi wa hali ya juu, watu wengi wapo mjini wanapambana kutafuta mafanikio, wanatafuta upenyo na hakuna chochote kinachotokea, pasipo kujua kuwa msingi wa maisha yao unategemea kule walipotoka. Tambua na uelewe kwamba kuna siri kubwa iliyojificha katika ardhi ya kijijini kwenu. ▪︎MARKO 8:26. Kuna matatizo mengine yanatokana na maeneo ulipotoka, katika kijiji chenu kuna maagano yalifanyika yakakushikilia mpaka leo. Kuna matatizo mengine siyo...
Machapisho
Seleman Matola amemtahadhari mapema MIQUISSON
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

SIMBA tayari imezindua Wiki ya Simba Day jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya viongozi, wanachama pamoja na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo wakijitolea kutoa damu kuchangia Mfuko wa Damu wa Taifa, huku mmoja ya wataalamu akimuonya nyota mpya Luis Miquissone. Luis amerejeshwa kikosini katika dirisha la usajili lililopo wazi kwa sasa na tayari ameanza mambo katika kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki, lakini kocha wa zamani wa timu hiyo ambaye kwa sasa kahamishia makali yake kikosi cha vijana cha Msimbazi, Seleman Matola amemtahadhari mapema. Kocha huyo wa vijana wa Simba, alisema licha ya Luis kuwa bado mchezaji nzuri, lakini anakibarua cha kufanya ili aweze kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo walio na matumaini makubwa Luis aliyeuzwa na Simba misimu miwili iliyopita kwa Al Ahly ya Misri na kuacha pengo kubwa katika kikosi hicho, amejereshwa baada ya kumaliza na mabosi wa klabu hiyo akipewa mkataba wa miaka mitatu na Matola aliyekuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho alisema kurudi k...
MBUNIFU WA UMEME NA ZANA ZAKILIMO NJOMBE AFARIKI DUNIA
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

Njombe . Mamia ya wananchi wamejitokeza kushiriki maziko ya aliyekuwa mbunifu wa umeme na zana za kilimo mkoani Njombe, John Fute maarufu kama ‘Mzee Pwagu’ aliyefariki dunia Ijumaa, Julai 28, 2023. Mzee Pwagu ambaye alijipatia umarufu kutokana na kazi zake na kuitwa Ikulu na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli, ameagwa na kuzikwa leo nyumbani kwake mtaa wa Msete Halmashauri ya Mji wa Njombe. Wakizungumza kwa masikitiko leo Jumapili, Julai 30, 2023 wananchi walioshiriki mazishi ya Mzee Pwagu wamesema msiba huo ni mkubwa kwao kutokana na shughuli alizokuwa anazifanya zilikuwa na manufaa siyo tu kwa upande wake bali kwa jamii iliyomzunguka, mkoa na taifa kwa ujumla. Marehemu Mzee Pwagu wakati wa uhai wake alitengeneza umeme ambao unakadiriwa kuwa na killowatt 28 kwa ajili ya matumizi yake na majirani waliomzunguka. Kupitia utengenezaji wa pampu za umwagiliaji, marehemu atakumbukwa hasa na wakulima wa parachichi kwani aliwasaidia katika kuwezesha kilimo cha umwa...
ASILI YA MWANA DAMU
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
.jpeg)
Wanasayansi nchini Canada na Marekani wamechapisha utafiti ambao unakosoa nadharia ya sasa kuhusu asili ya mwanadamu wa sasa kwamba ni katika Afrika. Wakiangalia katika data za urithi, watafiti kutoka Chuo kikuu cha McGill na Chuo kikuu cha California - Davis wanasema kulikuwa na watu wengi waliokuwa wanaishi katika sehemu nyingi za Afrika, wakihamia kutoka kanda moja kuelekea nyingine na kuchanganyikana kwa zaidi ya miaka maelfu kadhaa. Matokeo haya ya utafiti yanakinzana na nadharia kwamba binadamu wa sasa- Homo Sapiens ni kizazi cha mababu waliokuwa wakiishi Mashariki na Kusini mwa Afrika. “Katika vipindi tofauti, watu walikubaliana na nadharia kwamba asili ya Homo Sapien inaonyesha kuwa binadamu kwanza walitokea mashariki au Kusini mwa Afrika,” alisema Brenna Henn, mtaalamu wa urithi katika chuo kikuu cha California, Davis ambaye pia ni mwandishi mkuu mwenza wa utafiti. “Lakini imekuwa vigumu kukubaliana kuhusu nadharia hizi kutokana na uchache wa mabaki ya watu wa kale na re...
Yanga vs Geita
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

Hatua ya Robo Fainali Kombe la Azam Sports Federation kukamilika kupigwa leo Saa 2:00 Usiku, mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa uwanja wa Azam Complex wakiwakaribisha Geita Gold Je, Wachimba dhahabu kuwatupa nje wananchi ama ama Yanga kwenda nusu fainali kuungana na Singida Big Star, AzamFC na Simba??
Lampard arudi Chelsea kwa muda
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

Frank Lampard ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa Chelsea FC ambapo atainoa timu hiyo hadi mwisho mwa msimu. Lampard anarudi tena Darajani kama kocha baada ya kuitumikia kwa mafanikio akiwa mchezaji akishinda mara tatu Ligi Kuu ya England pamoja na taji moja la UEFA. Lampard ataongoza Chelsea katika mchezo wa robo fainali wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Aprili 2 mwaka huu Chelsea ilivunja mkataba na Graham Potter kutokana na matokeo yasiyorodhisha, na sasa itakuwa katika kibarua cha kutafuta kocha wa kudumu.
UKOMBOZI NA UPONYAJI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Ukombozi na Uponyaji. Paulo na sila walifungiwa mahali kwa sababu mapepo waliamua kumtumia mfalme ili kuliharibu kanisa, waliwafungia mahali wakifikiri kuwa sauti zao hazitasikiwa, lakini ilipofika usiku Paulo na Sila wakaamua kuimba na walipoimba Mbingu ilishangaa na kuja kuwasaidia. Kuna miujiza itatokea ambayo haujawahi kuiona, inaweza ikawa unataarifa mbaya kutoka kwa madaktari kuwa kutokana na ugonjwa ulionao inapaswa utolewe kizazi na hautaweza kuzaa tena, au umeambiwa ugonjwa ulionao hauna dawa, na wengine wameambiwa kuwa ugonjwa ulio nao utakuwa nao mpaka ufe, sikia nikwambie ni hivi ibilisi ndio atakayekufa na huo ugonjwa lakini si wewe, Yesu alikufa msalabani kwa ajili yako. Unaweza ukawa katika ukoo wenu hakuna aliyewahi kuendesha gari na wewe na kaka zako na mabinamu zako hakuna anaye endesha gari kwa sababu mmefungiwa mahali, lakini leo utatoka kwa Jina la Yesu. Yesu hakwenda msalabani kwa ajili yake mwenyewe, bali alikwenda kwa ajili yako, siku ile Yesu alimshinda ib...
KUONGOZWA NA ROHO
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
KUONGOZWA NA ROHO. Maombi ni lazima, tumehimizwa na muumbaji kuomba, Kwa kila mwamini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:- 1. Afanye kazi, 2. Awe na umiliki juu ya nchi, 3. Azalishe, 4. Aombe, 5. Ashuhudie, 6. Aabudu, 7. Lazima awe mtoaji, 8. Lazima uwe na upendo, penda uumbaji, 9. Lazima asamehe na atubu, 10. Ahakikishe anatunza wito wake. Ukiyaweka haya pamoja ndipo unakuwa yule ambaye Mungu anampenda, 1 Wakorintho 2:10 “Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.” Mungu ametupa ufunuo kupitia roho wake, ufunuo ni nini? Maana yake ni kugundua mambo yaliyo sirini, maswala ya kiroho ukiyagundua yale yanayo kuhusu wewe, Mungu au ya ibilisi yaliyo katika roho hiki ndicho tunakiita ufunuo inamaana yamefunuliwa kwako. Biblia inasema “Lakini Mu...
Uzazi wa mpango kwa kutumia njia za asili
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Open main menu Uzazi wa mpango kwa njia asilia Lugha Download P Uzazi wa mpango kwa njiap asilia maana yake ni mbinu zile za kuzuia mimba isipatikane katika tendo la ndoa ambazo zinafuata maumbile tu. Njia asilia za kupanga uzazi ni mbinu ambazo hazihusishi vifaa wala kemikali , bali zinategemea ufahamu wa uwezo wa mwanamke kupata au kutopata mimba wakati wa kufanya tendo la ndoa. Wanawake ambao wananyonyesha na wanapenda kukwepa mimba wanaweza kufanya tendo la ndoa kwa kutegemea kukatizwa kwa hedhi wakati wa kunyonyesha. Mbali ya huo ujuzi wa jumla, uzazi unaweza kupangwa kwa kutofanya tendo la ndoa siku 13 hivi ambapo katika mzunguko wa hedhi kuna uwezekano wa kupata mimba. Kinyume chake wanandoa wanaweza kulenga uzazi kwa hakika zaidi wakifanya tendo la ndoa kwa kutumia vizuri siku zinazouwezesha. Vilevile wanaweza kuchagua...