Machapisho

KUONGOZWA NA ROHO.

 KUONGOZWA NA ROHO. Maombi ni lazima, tumehimizwa na muumbaji kuomba, Kwa kila mwamini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:- 1.      Afanye kazi, 2.      Awe na umiliki juu ya nchi, 3.      Azalishe, 4.      Aombe, 5.      Ashuhudie, 6.      Aabudu, 7.      Lazima awe mtoaji, 8.      Lazima uwe na upendo, penda uumbaji, 9.      Lazima asamehe na atubu, 10.  Ahakikishe anatunza wito wake. Ukiyaweka haya pamoja ndipo unakuwa yule ambaye Mungu anampenda, 1 Wakorintho 2:10 “Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.” Mungu ametupa ufunuo kupitia roho wake, ufunuo ni nini? Maana yake ni kugundua mambo yaliyo sirini, maswala ya kiroho ukiyagundua yale yanayo kuhusu wewe, Mungu au ya ibilisi yaliyo katika roho hiki ndicho tunakiita ufunuo inamaana yamefunuliwa kwako. Biblia inasema “Lakini Mungu ametufunul...

TUNDA LA ROHO

 Wagalatia 5:22-23 "Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria." - UPENDO  Hili ni tunda la kwanza la Roho, Yesu Kristo wakati akitembea watu wengi walimfuata kwasababu alikuwa na Pendo la kweli ambalo ni tunda lililosababisha watu kumfuata kila alipo pita, Pendo linamvuta mtu kuja karibu yako, hivyo katika kanisa ni lazima kuwa na tunda la upendo ili kusababisha ukombozi wa watu.  - FURAHA Furaha inajengwa na Pendo, kama kanisa furaha inasababisha umoja na ushirikiano na inasababisha ukombozi kwetu.  - AMANI Amani ni kila kitu katika maisha, pasipo amani hakuna mafanikio. Ndani ya amani kuna utoshelevu kwa kila jambo.  - UVUMILIVU Uvumilivu na tabia ya Mungu , kama Mungu wetu anaweza kutuvumilia na sisi pia tunapaswa kuwa wavumilivu kwa kila jambo - UTU WEMA Utu wema ni kuwaza mema juu ya mtu mwingine -FADHILI Fadhili ni ile hali ya kujitoa kwa ajili ya mtu Fulani pas...

UTOAJI

 *UTOAJI MBELE ZA MUNGU UNAVYOWEZA KUKUFUNGULIA MLANGO MKUBWA WA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO* *Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la Bwana alilolinena kwa kinywa cha Eliya*  (1 Wafalme 17:16) Siku ya leo tutafakari kwa kina ujumbe huu  *Kila kitu ni utoaji* na hakikisha unasoma na kuchukua hatua. 👉Yaani Kama hautoi basi pia hupokei. Na kama haupokei basi hutoi.  ✅Utoaji ni daraja kati ya mafanikio yako na wewe ulipo. Utoaji ni mbegu, ambayo baadaye itakuzalia matunda. ◾Jiulize wewe unatoa nini? ◾ Unatoa kwa nani?  ◾Unatoa wapi?  📌Watu waliofanikiwa tabia moja wapo inayofanya wafanikiwe ni utoaji. ✅ Kwa wale wasomaji wazuri wa biblia,  imebainisha bayana kabisa kuwa, heri kutoa kuliko kupokea.  ✅Kwa maana anayetoa atapokea na kuongezewa zaidi. ""Katika mambo yote nimewaonyesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia wanyonge, na kuyakumbuka maneno ya *Bwana Yesu, jinsi alivyosema mwen...

NDOTO

Ndoto ni njia mojawapo ambayo Mungu husema,na kuwaelekeza watoto wake waleo. YOWELI 2:28-29 Shetani pia huzungumza,hushambulia na kuwamiliki watu kupitia ndoto.Maombi yenye nguvu yanaweza kukuwezesha kuyashinda mashsmbulizi kama hayo ya ndoto.Jifunze kushughulika na ndoto ili kupambana na ndoto za vitisho na za uongo za shetani. ZEKARIA 10:2 AINA ZA NDOTO. i)Ndoto za ki-binadamu. Hizi hutokana na shughuli nyingi tunazoshinda nazo za kila siku. MHUBIRI 5:3 ii)Ndoto za ki-pepo(shetan). Hizi ni ndoto za vitisho ,uwongo na mashambulizi juu ya wanadamu zisababishwazo na nguvu za giza ili kuwamiliki na kuwatawala wanadamu. YUDA 1:8 iii)Ndoto za Ki-Mungu. Hizi ni ndoto zitokanazo na Mungu ili kutupasha taarifa Fulani katika maisha yetu.Mungu hutupa maelekezo mbalimbali kwa njia ya ndoto ili tuweze kumshinda mwovu. HESABU 12:6 YEREMIA 23:28 KITABU CHA AYUBU 33:13-17 Ifuatayo ni mifano ya watu waliopewa maelekezo na Mungu kwa njia ya ndoto kibiblia. i)ABIMELEKI Mungu alimkemea Abimeleki mfalme ...

AINA ZA MAOMBI

 *AINA ZA MAOMBI.* *1. MAOMBI YA KUWAOMBEA WATU WENGINE (MAOMBEZI).* -Kwa mtu aliyeokoka ni lazima uwaombee watu wengine, mojawapo na sababu inayomfanya Mungu ajibu maombi yako lazima usiwe mbinafsi jali na wengine kwa kuwaombea. -1 SAMWEL 12:23 Walakini mimi, hasha! Nisimtende BWANA dhambi kwa kuacha kuwaombea ninyi; lakini nitawaelimisha katika njia iliyo njema, na kunyoka -EZEKIEL 22:30 Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu. 31 Kwa sababu hiyo nimemwaga ghadhabu yangu juu yao; nimewateketeza kwa moto wa hasira yangu; nami nimeileta njia yao wenyewe juu ya vichwa vyao, asema Bwana MUNGU. FAIDA YA MAOMBI YA KUWAOMBEA WATU WENGINE (MAOMBEZI). -Yanaimarisha kanisa katika misingi ya Umoja na Upendo.  -Inajenga nafasi nzuri ya Mungu kuanza kutenda kwako. -Yanawajenga watu wengine waweze kusimama vizuri kwenye wokovu (mfano maombi ya washirika juu ya viongoz...

UBATIZO

  Ubatizo.  Ubatizo wa kuzamishwa ndani ya maji na mtu aliye na mamlaka ni agizo la kwanza la wokovu la injili na ni muhimu kwa mtu binafsi kuwa mshiriki na kupokea wokovu wa milele. Wote wanaotafuta uzima wa milele lazima wafuate mfano wa Mwokozi kwa kubatizwa na kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Ubatizo lazima ufanywe na mtu aliye na mamlaka ya ukuhani na kwamba lazima ufanywe kwa kuzamishwa: “Mtu ambaye ameitwa na Mungu na ana mamlaka kutoka kwa Yesu Kristo ya kubatiza, atashuka majini pamoja na mtu ambaye amejitoa kwa ajili ya kubatizwa, na atasema, akimwita kwa jina: Baada ya kutumwa na Yesu Kristo, ninakubatiza katika jina. La Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. “Kisha atamzamisha majini, na kutoka tena majini” Kuzamishwa ni ishara ya kifo cha maisha ya dhambi ya mtu na kuzaliwa upya katika maisha ya kiroho, yaliyowekwa wakfu kwa huduma ya Mungu na watoto wake. Pia ni ishara ya kifo na ufufuo. (Ona Warumi 6:3–6 .)  Agano la Ubatizo  Wale wanaobatiz...

UBATIZO KWAAJIRI YA WAFU

  Ubatizo kwa Wafu  Muhtasari  Yesu Kristo alifundisha kwamba ubatizo ni muhimu kwa wokovu wa wote ambao wameishi duniani (ona Yohana 3:5). Hata hivyo, watu wengi wamekufa bila kubatizwa. Wengine walibatizwa bila mamlaka ifaayo. Kwa sababu Mungu ni mwenye rehema, ametayarisha njia kwa watu wote kupokea baraka za ubatizo. Kwa kufanya ubatizo wa uwakilishi kwa niaba ya wale waliokufa, washiriki wa Kanisa hutoa baraka hizi kwa mababu waliokufa. Watu binafsi basi wanaweza kuchagua kukubali au kukataa kile ambacho kimefanywa kwa niaba yao. Yesu Kristo alisema, “Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu” (Yohana 3:5). Hata Yesu Kristo Mwenyewe alibatizwa (ona Mathayo 3:13–17). Watu wengi wameishi duniani ambao hawakuwahi kusikia injili ya Yesu Kristo na ambao hawakubatizwa. Wengine waliishi bila kuelewa kikamilifu umuhimu wa agizo la ubatizo. Bado wengine walibatizwa, lakini bila mamlaka ifaayo. Kwa sababu Yeye ni Mungu mwenye upendo, Bwana hawalaani...
 #SOMO la leo 20/08/2023 na Mtu wa MUNGU Nabii BG Malisa. ▪︎LUKA 19:29-30 Unaweza ukawa unaishi mahali flani lakini katika ulimwengu wa roho umefungwa kijijini kwenu. Kijiji chenu ndiyo chimbuko lenu, ndiyo asili yenu. Huwezi kufanikiwa zaidi ya asili ya kijiji chenu. ▪︎Kule ulipotoka ndiyo chimbuko lenu, ndipo historia yenu ilipo, huwezi kwenda zaidi ya chimbuko lenu, inahitaji ukombozi na kufunguliwa kwa kiwango cha juu ili ufanikiwe. Kumbuka: NI LAZIMA URUDI UCHUNGUZE ASILI YA KIJIJI CHENU NA UISHUGHULIKIE ▪︎Ardhi ya kijiji chenu inahitaji ukombozi wa hali ya juu, watu wengi wapo mjini wanapambana kutafuta mafanikio, wanatafuta upenyo na hakuna chochote kinachotokea, pasipo kujua kuwa msingi wa maisha yao unategemea kule walipotoka. Tambua na uelewe kwamba kuna siri kubwa iliyojificha katika ardhi ya kijijini kwenu. ▪︎MARKO 8:26. Kuna matatizo mengine yanatokana na maeneo ulipotoka, katika kijiji chenu kuna maagano yalifanyika yakakushikilia mpaka leo. Kuna matatizo mengine siyo...

HISTORIA YA KANISA

Picha

Seleman Matola amemtahadhari mapema MIQUISSON

Picha
 SIMBA tayari imezindua Wiki ya Simba Day jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya viongozi, wanachama pamoja na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo wakijitolea kutoa damu kuchangia Mfuko wa Damu wa Taifa, huku mmoja ya wataalamu akimuonya nyota mpya Luis Miquissone. Luis amerejeshwa kikosini katika dirisha la usajili lililopo wazi kwa sasa na tayari ameanza mambo katika kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki, lakini kocha wa zamani wa timu hiyo ambaye kwa sasa kahamishia makali yake kikosi cha vijana cha Msimbazi, Seleman Matola amemtahadhari mapema. Kocha huyo wa vijana wa Simba, alisema licha ya Luis kuwa bado mchezaji nzuri, lakini anakibarua cha kufanya ili aweze kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo walio na matumaini makubwa Luis aliyeuzwa na Simba misimu miwili iliyopita kwa Al Ahly ya Misri na kuacha pengo kubwa katika kikosi hicho, amejereshwa baada ya kumaliza na mabosi wa klabu hiyo akipewa mkataba wa miaka mitatu na Matola aliyekuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho alisema kurudi k...

MBUNIFU WA UMEME NA ZANA ZAKILIMO NJOMBE AFARIKI DUNIA

Picha
Njombe . Mamia ya wananchi wamejitokeza kushiriki maziko ya aliyekuwa mbunifu wa umeme na zana za kilimo mkoani Njombe, John Fute maarufu kama ‘Mzee Pwagu’ aliyefariki dunia Ijumaa, Julai 28, 2023. Mzee Pwagu ambaye  alijipatia umarufu kutokana na kazi zake na kuitwa Ikulu na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli, ameagwa na kuzikwa leo nyumbani kwake mtaa wa Msete Halmashauri ya Mji wa Njombe. Wakizungumza kwa masikitiko leo Jumapili, Julai 30, 2023 wananchi walioshiriki mazishi ya Mzee Pwagu wamesema msiba huo ni mkubwa kwao kutokana na shughuli alizokuwa anazifanya zilikuwa na manufaa siyo tu kwa upande wake bali kwa jamii iliyomzunguka, mkoa na taifa kwa ujumla. Marehemu Mzee Pwagu wakati wa uhai wake alitengeneza umeme ambao unakadiriwa kuwa na killowatt 28 kwa ajili ya matumizi yake na majirani waliomzunguka. Kupitia utengenezaji wa pampu za umwagiliaji, marehemu atakumbukwa hasa na wakulima wa parachichi kwani aliwasaidia katika kuwezesha kilimo cha umwa...

ASILI YA MWANA DAMU

Picha
  Wanasayansi nchini Canada na Marekani wamechapisha utafiti ambao unakosoa nadharia ya sasa kuhusu asili ya mwanadamu wa sasa kwamba ni katika Afrika. Wakiangalia katika data za urithi, watafiti kutoka Chuo kikuu cha McGill na Chuo kikuu cha California - Davis wanasema kulikuwa na watu wengi waliokuwa wanaishi katika sehemu nyingi za Afrika, wakihamia kutoka kanda moja kuelekea nyingine na kuchanganyikana kwa zaidi ya miaka maelfu kadhaa. Matokeo haya ya utafiti yanakinzana na nadharia kwamba binadamu wa sasa- Homo Sapiens ni kizazi cha mababu waliokuwa wakiishi Mashariki na Kusini mwa Afrika. “Katika vipindi tofauti, watu walikubaliana na nadharia kwamba asili ya Homo Sapien inaonyesha kuwa binadamu kwanza walitokea mashariki au Kusini mwa Afrika,” alisema Brenna Henn, mtaalamu wa urithi katika chuo kikuu cha California, Davis ambaye pia ni mwandishi mkuu mwenza wa utafiti. “Lakini imekuwa vigumu kukubaliana kuhusu nadharia hizi kutokana na uchache wa mabaki ya watu wa kale na re...

Yanga vs Geita

Picha
 Hatua ya Robo Fainali Kombe la Azam Sports Federation kukamilika kupigwa leo  Saa 2:00 Usiku, mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa uwanja wa Azam Complex wakiwakaribisha Geita Gold Je, Wachimba dhahabu kuwatupa nje wananchi ama ama Yanga kwenda nusu fainali kuungana na Singida Big Star, AzamFC na Simba??

Lampard arudi Chelsea kwa muda

Picha
Frank Lampard ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa Chelsea FC ambapo atainoa timu hiyo hadi mwisho mwa msimu. Lampard anarudi tena Darajani kama kocha baada ya kuitumikia kwa mafanikio akiwa mchezaji akishinda mara tatu Ligi Kuu ya England pamoja na taji moja la UEFA. Lampard ataongoza Chelsea katika mchezo wa robo fainali wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Aprili 2 mwaka huu Chelsea ilivunja mkataba na Graham Potter kutokana na matokeo yasiyorodhisha, na sasa itakuwa katika kibarua cha kutafuta kocha wa kudumu.

UKOMBOZI NA UPONYAJI

 Ukombozi na Uponyaji. Paulo na sila walifungiwa mahali kwa sababu mapepo waliamua kumtumia mfalme ili kuliharibu kanisa, waliwafungia mahali wakifikiri kuwa sauti zao hazitasikiwa, lakini ilipofika usiku Paulo na Sila wakaamua kuimba na walipoimba Mbingu ilishangaa na kuja kuwasaidia. Kuna miujiza itatokea ambayo haujawahi kuiona, inaweza ikawa unataarifa mbaya kutoka kwa madaktari kuwa kutokana na ugonjwa ulionao inapaswa utolewe kizazi na hautaweza kuzaa tena, au umeambiwa ugonjwa ulionao hauna dawa, na wengine wameambiwa kuwa ugonjwa ulio nao utakuwa nao mpaka ufe, sikia nikwambie ni hivi ibilisi ndio atakayekufa na huo ugonjwa lakini si wewe, Yesu alikufa msalabani kwa ajili yako. Unaweza ukawa katika ukoo wenu hakuna aliyewahi kuendesha gari na wewe na kaka zako na mabinamu zako hakuna anaye endesha gari kwa sababu mmefungiwa mahali, lakini leo utatoka kwa Jina la Yesu. Yesu hakwenda msalabani kwa ajili yake mwenyewe, bali alikwenda kwa ajili yako, siku ile Yesu alimshinda ib...

KUONGOZWA NA ROHO

 KUONGOZWA NA ROHO. Maombi ni lazima, tumehimizwa na muumbaji kuomba, Kwa kila mwamini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:- 1.      Afanye kazi, 2.      Awe na umiliki juu ya nchi, 3.      Azalishe, 4.      Aombe, 5.      Ashuhudie, 6.      Aabudu, 7.      Lazima awe mtoaji, 8.      Lazima uwe na upendo, penda uumbaji, 9.      Lazima asamehe na atubu, 10.  Ahakikishe anatunza wito wake.   Ukiyaweka haya pamoja ndipo unakuwa yule ambaye Mungu anampenda,   1 Wakorintho 2:10 “Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.” Mungu ametupa ufunuo kupitia roho wake, ufunuo ni nini? Maana yake ni kugundua mambo yaliyo sirini, maswala ya kiroho ukiyagundua yale yanayo kuhusu wewe, Mungu au ya ibilisi yaliyo katika roho hiki ndicho tunakiita ufunuo inamaana yamefunuliwa kwako. Biblia inasema “Lakini Mu...

Uzazi wa mpango kwa kutumia njia za asili

Picha
  Open main menu Uzazi wa mpango kwa njia asilia Lugha Download P Uzazi wa mpango kwa njiap asilia   maana yake ni   mbinu   zile za kuzuia   mimba   isipatikane katika   tendo la ndoa   ambazo zinafuata   maumbile   tu. Njia asilia za kupanga  uzazi  ni mbinu ambazo hazihusishi  vifaa  wala  kemikali , bali zinategemea  ufahamu  wa  uwezo  wa  mwanamke  kupata au kutopata mimba wakati wa kufanya tendo la ndoa. Wanawake ambao wananyonyesha na wanapenda kukwepa mimba wanaweza kufanya tendo la ndoa kwa kutegemea kukatizwa kwa  hedhi  wakati wa kunyonyesha. Mbali ya huo  ujuzi  wa jumla, uzazi unaweza kupangwa kwa kutofanya tendo la ndoa siku 13 hivi ambapo katika mzunguko wa hedhi kuna uwezekano wa kupata mimba. Kinyume chake wanandoa wanaweza kulenga uzazi kwa hakika zaidi wakifanya tendo la ndoa kwa kutumia vizuri siku zinazouwezesha. Vilevile wanaweza kuchagua...